• HABARI MPYA

    Friday, September 29, 2017

    AZAM FC KATIKA MAZOEZI YA MWISHO LEO KABLA YA KUIVAA SINGIDA KESHO DODOMA

    Kipa Mghana wa Azam FC, Razack Abalora akimdhibiti mshambuliaji Mbaraka Yussuf katika mazozi ya timu hiyo leo Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji wahamiaji, Singia United ya Singida
    Kocha Mromania, Aristica Cioaba akifuatilia mazoezi 
    Beki Mghana, Yakubu Mohammed mazoezini leo Uwanja wa Jamhuri
    Kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' mazoezini leo
    Wachezaji wa Azam walifanya mazoezi ya nguvu leo Jamhuri 
    Beki Aggrey Morris akichezea mpira leo Uwanja wa Jamhuri
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC KATIKA MAZOEZI YA MWISHO LEO KABLA YA KUIVAA SINGIDA KESHO DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top