• HABARI MPYA

  Wednesday, September 20, 2017

  MESSI AFUNGA MABAO MANNE, BARCELONA YASHINDA 6-1 LA LIGA

  Lionel Messi akishangilia kigumu baada ya kuifungia Barcelona mabao manne dakika za 20 kwa penalti, 59, 62 na 87 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Eibar kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Nou Camp. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na  Paulinho dakika ya 38 na Denis Suarez dakika ya 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AFUNGA MABAO MANNE, BARCELONA YASHINDA 6-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top