• HABARI MPYA

  Saturday, September 30, 2017

  KLOPP AKIFURAHIA NA SADIO MANE MAZOEZINI LIVERPOOL

  Kocha Mjerumani wa Liverpool, Jurgen Klopp akifurahia na mchezaji wake, Msenegali Sadio Mane mazoezini viwanja vya Melwood jana kujiandaa na mchezo dhidi ya  Newcastle United kesho. Mane anarejea kuelekea mechi ya kesho baada ya kukosekana katika mchezo uliopita dhidi ya Leicester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KLOPP AKIFURAHIA NA SADIO MANE MAZOEZINI LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top