// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC NA LIPULI KATIKA PICHA JANA CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC NA LIPULI KATIKA PICHA JANA CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Monday, September 25, 2017

  AZAM FC NA LIPULI KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

  Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yussuf akimtoka beki wa Lipuli, Asante Kwasi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 1-0 
  Kiungo wa Azam, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka beki wa Lipuli, Novaty Lufunga jana 
  Beki wa Azam, Bruce Kangwa akimtoka mshambuliaji wa Lipuli, Seif Abdallah
  Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo akimtoka mshambuliaji wa Lipuli, Seif Abdallah
  Beki Mghana wa Azam, Daniel Amoah akiondona na mpira dhidi ya mchezaji wa Lipuli
  Kiungo wa Azam FC, Yahya Zayed akipasua katikati ya wachezaji wa Lipuli
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA LIPULI KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top