• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 23, 2017

  ROONEY APASULIWA JICHONI HADI DAMU, EVERTON YASHINDA 2-1

  Mshambuliaji wa Everton, Wayne Rooney akivuja damu baada ya kuumia kufuatia kugongana na Simon Francis wa Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Goodison Park, lakini ajabu refa hakutoa adhabu yoyote kiasi cha kuzomewa na mashabiki. Rooney alibadilishiwa jezi baada ya kutibiwa na kuendelea na mchezo, Everton ikishinda 2-1 mabao yote yakifungwa na mshambuliaji Msenegali, El-Hadji Baye Oumar Niasse dakika za 77 na 82 baada ya Joshua King kuanza kuwafungia wageni dakika ya 49 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ROONEY APASULIWA JICHONI HADI DAMU, EVERTON YASHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top