• HABARI MPYA

  Jumatatu, Septemba 25, 2017

  KESI YA MANJI YA DAWA ZA KULEVYA YAANZA KUUNGURUMA KISUTU SIKU TATU MFULULIZO

  Aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yussuf Manji (kulia) akijadiliana jambo na wakili wake, Hajra Mungura katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mjini Dar es Salaam leo katika siku ya kwanza kati ya tatu mfululizo za kusikilizwa kwa kesi ya dawa za kulevya

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KESI YA MANJI YA DAWA ZA KULEVYA YAANZA KUUNGURUMA KISUTU SIKU TATU MFULULIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top