• HABARI MPYA

  Friday, September 22, 2017

  SIMBA NA MBAO KATIKA PICHA JANA CCM KIRUMBA

  Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiondoka na mpira dhidi ya beki wa Mbao FC, Boniphace Maganga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2
  Kiungo wa Mbao FC, Ibrahim Njohole akimtoka kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima 
  Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin (kushoto) akimiliki mpira pembeni ya mshambuliaji wa Mbao, Habib Kiyombo
  Matabibu wa Simba wakimpatia huduma ya awali, kiungo Shiza Kichuya baada ya kuumia kifundo cha mguu kipindi cha kwanza jana na kushindwa kuendelea na mchezo 
  Kikosi cha Mbao FC katika mchezo wa jana 
  Kikosi cha Simba katika mchezo wa jana Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA MBAO KATIKA PICHA JANA CCM KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top