• HABARI MPYA

  Saturday, September 09, 2017

  MAN UNITED YAPUNGUZWA KASI, SARE 2-2 NA STOKE CITY

  Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akimruka beki wa Stoke City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Bet365 timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Mabao ya Man United yalifungwa na Rashford dakika ya 45 na ushei na Romelu Lukaku dakika ya 57 wakati ya Stoke yamefungwa na Eric Maxim Choupo-Moting yote dakika za 43 na 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAPUNGUZWA KASI, SARE 2-2 NA STOKE CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top