• HABARI MPYA

  Saturday, September 23, 2017

  BALOTELLI AFUNGA KWA TUTA, NICE YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI 2-2

  Mario Balotelli akikimbia na mpira baada ya kuifungia timu yake, Nice kwa penalti dakika ya 39 katika sare ya 2-2 na Angers usiku wa jana Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice katika mchezo wa Ligue 1 ya Ufaransa. Bao lingine la Nice Ismael Traore alijifunga dakika ya 76, wakati mabao ya Angers yamefungwa na Mateo Pavlovic dakika ya 12 na Karl Toko Ekambi dakika ya 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOTELLI AFUNGA KWA TUTA, NICE YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top