• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 28, 2017

  HIGUAIN AFUNGA JUVENTUS IKIICHAPA OLYMPIACOS 2-0 TORINO

  Gonzalo Higuain akishangilia baada ya kuifungia Juventus bao la kwanza dakika ya 69 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Olympiacos katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Allianz mjini Torino usiku wa jana. Bao la pili lilifungwa na Mario Mandzukic dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HIGUAIN AFUNGA JUVENTUS IKIICHAPA OLYMPIACOS 2-0 TORINO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top