• HABARI MPYA

  Thursday, September 28, 2017

  CAVANI, NEYMAR WOTE WAFUNGA PSG YAIPIGA 3-0 BAYERN MUNICH

  Nyota wa Paris Saint Germain, Edinson Cavani na Neymar Junior wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Bayern Munich usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Cavani alifunga dakika ya 31 na Neymar dakika ya 63 baada ya beki Dani Alves kufunga la kwanza dakika ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CAVANI, NEYMAR WOTE WAFUNGA PSG YAIPIGA 3-0 BAYERN MUNICH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top