• HABARI MPYA

  Monday, September 18, 2017

  REAL MADRID YAIPARUA 3-1 REAL SOCIEDAD LA LIGA

  Winga wa Real Madrid, Gareth Bale akiupitisha mpira juu ya kipa wa Real Sociedad, Geronimo Rulli kuifungia timu yake bao la tatu dakika ya 61 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji wao hao Uwanja wa Manispaaa ya Anoeta mjini Donostia-San Sebastian.  Mabao mengine ya Real Madird yalifungwa na Borja Mayoral dakika ya 19 na Kevin Rodrigues aliyejifunga dakika ya 36 baada ya kuifungia timu yake bao pekee dakika ya 28 katika mchezo huo wa La Liga 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAIPARUA 3-1 REAL SOCIEDAD LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top