• HABARI MPYA

    Wednesday, September 20, 2017

    YANGA SC MAZOEZINI LEO UWANJA WA UHURU KUJIANDAA NA NDANDA

    Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akiwania mpira katikati ya wenzake mazoezini leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Ndanda FC Jumamosi
    Kipa Mcameroon, Youthe Rostand (kulia) akidaka mpira mazoezini leo  
    Kiungo Baruan Akilimali (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita Papy Kabamba Tshishimbi

    Donald Ngoma (kushoto) leo amefanya mazoezi kwa bidii mno kuashiria anataka kurejesha makali yake katika Ligi Kuu
    Winga Emmanuel Martin akimtangulizia pasi Donald Ngoma mazoezini leo
     Kocha Mzambia, George Lwandamina akizungumza mazoezini leo
    Kocha George Lwandamina (katikati) akiwa na wasaidizi wake na beki majeruhi, Juma Abdul (kushoto)
    Kiungo Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi baada ya mazoezi leo  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC MAZOEZINI LEO UWANJA WA UHURU KUJIANDAA NA NDANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top