• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 27, 2017

  BEN YEDDER APIGA HAT TRICK SEVILLA YAIFUMUA MARIBOR 3-0

  Wissam Ben Yedder akishangilia baada ya kufunga mabao yote matatu peke yake dakika 27, 38 na 83 kwa penalti katika ushindi wa Sevilla wa 3-0 dhidi ya Maribor kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla, Hispania PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BEN YEDDER APIGA HAT TRICK SEVILLA YAIFUMUA MARIBOR 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top