• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 23, 2017

  MORATA AWASHA MOTO ENGLAND, APIGA HAT TRICK CHELSEA YAUA 4-0 UGENINI

  Mshambuliaji mpya wa Chelsea, Alvaro Morata akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao matatu dakika za pili, 77 na 82 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Stoke City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Bet365. Bao lingine la The Blues limefungwa na Pedro dakika ya 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MORATA AWASHA MOTO ENGLAND, APIGA HAT TRICK CHELSEA YAUA 4-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top