• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 21, 2017

  BATSHUAYI APIGA HAT TRICK CHELSEA YAICHAPA 5-1 NOTTINGHAM FOREST

  Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu Chelsea dakika za 19, 53 na 86 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Nottingham Forest kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England, au Carabao Cup Uwanja wa Stamford Bridge, London usiku wa jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BATSHUAYI APIGA HAT TRICK CHELSEA YAICHAPA 5-1 NOTTINGHAM FOREST Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top