• HABARI MPYA

  Jumanne, Septemba 26, 2017

  LACAZETTE APIGA ZOTE MBILI, ARSENAL YASHINDA 2-0 ENGLAND

  Mshambuliaji mpya, Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Arsenal dakika ya 20 kati ya mawili aliyofunga, lingine dakika ya 67 kwa penalti katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatatu Uwanja wa Emirates, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LACAZETTE APIGA ZOTE MBILI, ARSENAL YASHINDA 2-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top