• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 23, 2017

  STERLING APIGA MBILI, MAN CITY YAIBOMOA CRYSTAL PALACE 5-0

  Raheem Sterling akinyoosha vidole juu baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 51 na 59 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Leroy Sane dakika ya 44, Sergio Aguero dakika ya 79 na Fabian Delph dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: STERLING APIGA MBILI, MAN CITY YAIBOMOA CRYSTAL PALACE 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top