Mshambuliaji Mzambia wa Yanga, Obrey Chirwa akimiliki mpira mbele ya beki na Nahodha wa timu hiyo, Nadir Haroub 'Cannavaro' kwenye mazoezi ya leo asubuhi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Ndanda FC Jumamosi
Obrey Chirwa akimiliki mpira pembeni ya beki Abdallah Hajji 'Ninja'
Kiungo Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi akiondoka na mpira leo
Beki wa kushoto Mwinyi Hajji Mngwali akiwa juu kuokoa
Kocha Mzambia, George Lwandamina akizungumza na wachezaji wake leo
Wachezaji wa Yanga wakikimbia Uwanja wa Uhuru asubuhi ya leo
‘I ended up coming head-on into traffic!’
-
It took former Red Owen Hargreaves a while to get used to being in England.
Dakika 22 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni