• HABARI MPYA

  Friday, September 22, 2017

  MAN UNITED WAKIJIFUA KWENYE MVUA KUJIANDAA NA SOUTHAMPTON KESHO

  Wachezaji wa Manchester United, Nemanja Matic (katikati), Antonio Valencia (kushoto) na Marouane Fellaini wakiendelea na mazoezini jana huku mvua ikinyesha kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Southampton Uwanja wa St. Mary's PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED WAKIJIFUA KWENYE MVUA KUJIANDAA NA SOUTHAMPTON KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top