Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akikimbia huku anashangilia baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 69 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Girona kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Manispaa ya Montilivi mjini Girona. Mabao mengine ya Barca wachezaji wa Girona walijifunga Aday Benitez dakika ya 17 na Gorka Iraizoz dakika ya 48 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment