• HABARI MPYA

  Friday, September 01, 2017

  SANCHEZ NA CHILE YAKE WAGONGWA 3-0 NYUMBANI

  Mshambuliaji wa Chile, Alexis Sanchez (kushoto) akigombea mpira na Barrios wa Paraguay katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa Kanda ya Amerika Kusini Alfajiri ya leo Uwanja wa Monumental David Arellano mjini Santiago, Chile. Paraguay imeshinda 3-0 ugenini, mabao ya Arturo Vidal aliyejifunga dakika ya 24, Victor Carceres dakika ya 55 na Richard Ortiz dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANCHEZ NA CHILE YAKE WAGONGWA 3-0 NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top