• HABARI MPYA

  Friday, September 01, 2017

  ARGENTINA NA URUGUAY ZATOSHANA NGUVU KUFUZU KOMBE LA DUNIA

  Nyota wa Argentina, Lionel Messi (kulia) na Luis Suarez wa Uruguay (kushoto) wakiwa wamevaa jezi namba 20 na namba 30 ambazo kwa pamoja zinasomeka 2030 kumaanisha mpango wa pamoja wa nchi hizo kuomba kuandaa Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2030. Picha hiyo imepigwa alfajiri ya leo Uwanja wa Centenario mjini Montevideo kabla ya mchezo kati ya wenyeji, Uruguay na Argentina kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi kwa kanda ya Amerika ya Kusini PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARGENTINA NA URUGUAY ZATOSHANA NGUVU KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top