Alvaro Morata akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 15 na 54 katika ushindi wa 8-0 wa Hispania dhidi ya Liechtenstein kwenye mchezo wa ugenini wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi uliofanyika Uwanja wa Rheinpark mjini Vaduz usiku wa jana. Mabao mengine ya Hispania yalifungwa na Sergio Ramos dakika ya tatu, Isco dakika ya 16, David Silva dakika ya 39, Iago Aspas dakika ya 51 na 63 na Maximilian Goppel aliyejifunga dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Japan raises visa fees for Nigerians, others after 48 years
-
The Japanese government has approved a major increase in visa fees for
Nigerians and other foreign nationals, ending nearly five decades without
any adju...
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment