Mshambuliaji wa Colombia, Radamel Falcao akishangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha timu yake dakika ya 56 katika sare ya 1-1 na Brazil jana Uwanja wa Metropolitano Roberto Melendez mjini Barranquilla katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa kanda ya Amerika Kusini, kufuatia Willian kuwafungia wageni bao la kuongoza dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sonayon-James: My mission is a more prosperous Lagos
-
Lagos APC deputy governorship candidate Sonayon-James pledges inclusive
growth, prosperity and development for residents of the state.
The post Sonayon-J...
1 minute ago



.png)
0 comments:
Post a Comment