• HABARI MPYA

  Wednesday, September 06, 2017

  ARGENTINA YALAZIMISHWA SARE 1-1 NYUMBANI NA VENEZUELA

  Lionel Messi wa Argentina akikimbilia mpira dhidi ya Arquimedes Figuera wa Venezuela katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika Kusini jana Uwanja wa Estadio Monumental Antonio Vespucio Liberti mjini Buenos Aires, Argentina timu hizo zikitoka sare ya 1-1, wageni wakitangulia kwa bao la Jhon Murillo dakika ya 50 kabla ya Rolf Feltscher kujifunga dakika nne tu baadaye kuwapatia wenyeji bao la kusawazisha PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARGENTINA YALAZIMISHWA SARE 1-1 NYUMBANI NA VENEZUELA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top