Sergio Aguero akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 27, 31 na 81 Manchester City ikishinda 6-0 dhidi ya wenyeji Watford Uwanja wa Vicarage Road leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya City yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 37, Nicolas Otamendi dakika ya 63 na Raheem Sterling dakika ya 89 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
FG resumes mass terrorism trials with over 600 suspects arraigned in Abuja
-
The Federal Government has launched a fresh phase of mass terrorism trials,
with over 600 suspects charged before the Federal High Court, Abuja, on
count...
34 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment