• HABARI MPYA

  Saturday, September 16, 2017

  SALAH AICHOMOLEA LIVERPOOL, ILIKUWA IPIGWE NYUMBANI NA BURNLEY

  Nyota wa Misri, Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kusawazisha dakika ya 30 katika sare ya 1-1 Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield kufuatia Scott Arfield kutangulia kuwafungia wageni dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH AICHOMOLEA LIVERPOOL, ILIKUWA IPIGWE NYUMBANI NA BURNLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top