// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WACHEZAJI SIMBA SC WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA UTURUKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WACHEZAJI SIMBA SC WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA UTURUKI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, August 01, 2023

    WACHEZAJI SIMBA SC WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA UTURUKI


    WACHEZAJI tisa wapya wa Simba ambao hawakufanyiwa vipimo kabla ya timu kwenda kambini Uturuki jana wamefanyiwa vipimo hivyo kabla ya timu kuanza safari ya kurejea nyumbani, Dar es Salaam.
    Wachezaji hao wamefanyiwa vipimo hivyo katika Hospitali ya Medicalpark Göztepe nchini Uturuki, zoezi ambalo limefanyika kwa ushirikiano ambao Simba SC imeingia na kampuni ya East Africa Afya na hospitali ya Medical Park Goztepe Hastanesi.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WACHEZAJI SIMBA SC WAFANYIWA VIPIMO VYA AFYA UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top