KIKOSI cha Simba SC kimewasili salama Tanga jioni hii tayari kwa michuano ya timu nne ya Ngao ya Jamii inayotarajiwa kuanza kesho hadi Jumapili, wao wakianza na Singida Fountain Gate Alhamisi Uwanja wa Mkwakwani.
PICHA: KIKOSI CHA SIMBA KILIVYOWAWILI JIJINI TANGA LEO
0 comments:
Post a Comment