• HABARI MPYA

  Monday, August 07, 2023

  RAIS SAMIA AAHIDI KUENDELEA 'KUNUNUA MABAO' MICHUANO YA KLABU AFRIKA

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameahidi kuendelea kutoa zawadi kwa mabao yatakayofungwa kwenye michuano ya klabu barani Afrika msimu ujao.
  Akizungumza jana kwenye tamasha la Simba Day Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, Rais Samia amesema kwamba kwa msimu huu ambao Tanzania itawakilishwa na klabu za Azam, Simba, Singida Fountain Gate na Yanga utaratibu wake wa kununua mabao utaendelea.
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS SAMIA AAHIDI KUENDELEA 'KUNUNUA MABAO' MICHUANO YA KLABU AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top