• HABARI MPYA

  Saturday, August 19, 2023

  IHEFU SC YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 MBARALI


  BAO pekee la Mubarak Hamza dakika ya 79 limewapa wenyeji, Ihefu SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar ya Bukoba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Highland Estate, Mbarali mkoani Mbeya.
  Ni ushindi wa kwanza wa msimu Ihefu ikitoka kuchapwa 1-0 hapo hapo Highland Estate na Geita Gold na kipigo cha pili kwa Kagera Sugar baada ya kuchapwa 2-0 na Mashujaa FC mjini Kigoma.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IHEFU SC YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 MBARALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top