• HABARI MPYA

  Thursday, August 03, 2023

  IBRAHIM AJIBU AJIUNGA NA COASTAL UNION YA TANGA


  KIUNGO wa zamani wa Simba, Yanga na Azam FC, Ibrahim Ajibu Migomba amejiunga na Coastal Unión ya Tanga baada ya kuachana na Singida Fountain Gate.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IBRAHIM AJIBU AJIUNGA NA COASTAL UNION YA TANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top