• HABARI MPYA

  Tuesday, August 08, 2023

  AZAM FC YAMPELEKA ISAH NDALA KWA MKOPO KMC


  KLABU ya Azam FC imempeleka kwa mkopo kiungo Mnigeria, Isah Aliyu Ndala kwenda klabu ya KMC, zote za Dar es Salaam kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAMPELEKA ISAH NDALA KWA MKOPO KMC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top