REFA Jeonesia Rukyaa wa Kagera ndiye atakayechezesha Fainali ya Ngao ya Jamii baina ya Simba na Yanga kesho Saa 1:00 usiku Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
Jonesia atasaidiwa na washika vibendera, Mohamed Mkono wa Tanga na Hamdani Said wa Mtwara, wakati mezani atakuwepo Abdallah Mwinyimkuu wa Singida.
0 comments:
Post a Comment