• HABARI MPYA

  Monday, August 14, 2023

  MTIBWA SUGAR NA KITAYOSCE BADO HAZIJAFANYA USAJILI LIGI KUU


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema klabu za Kitayosce FC na Mtibwa Sugar bado hazijafanya usajili wa wachezaji wake kwenye mfumo wa Kielektoroniki wa FIFA-Connect.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTIBWA SUGAR NA KITAYOSCE BADO HAZIJAFANYA USAJILI LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top