TIMU ya Mtibwa Sugar jana imefungwa mabao 2-1 na AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Black Rhino Academy uliopo Karatu, Arusha.
MTIBWA SUGAR YACHAPWA 2-1 NA AS VITA KARATU
TIMU ya Mtibwa Sugar jana imefungwa mabao 2-1 na AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Black Rhino Academy uliopo Karatu, Arusha.
0 comments:
Post a Comment