• HABARI MPYA

  Tuesday, August 08, 2023

  WASIO NA LESENI MARUFUKU KUCHEZA NGAO YA JAMII TANGA


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kwamba wachezaji ambao hawatakuwa wamekamilisha taratibu za usajili na kukabidhiwa leseni hawataruhusiwa kucheza mechi za Ngao ya Jamii zinazoanza kesho Jijini Tanga.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WASIO NA LESENI MARUFUKU KUCHEZA NGAO YA JAMII TANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top