• HABARI MPYA

  Wednesday, August 16, 2023

  KITAYOSCE YAFUTIWA ADHABU, KUIVAA AZAM FC NA KIKOSI KAMILI


  KLABU ya Kitayosce imefutiwa adhabu ya kutofanya usajili katika dirisha hili - hivyo iko huru kuwatumia wachezaji wake wote katika mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhido ya wenyeji, Azam FC.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KITAYOSCE YAFUTIWA ADHABU, KUIVAA AZAM FC NA KIKOSI KAMILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top