• HABARI MPYA

  Wednesday, August 16, 2023

  KITAYOSCE YAFUNGIWA KUSAJILI LEO INACHEZA NA AZAM FC CHAMAZI


  WAKATI leo inashuka dimbani kumenyana na Azam FC katika mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, klabu ya Kitayosce imefungiwa kusajili katika dirisha hili la usajili kwa kosa la kutowalipa wachezaji wake wa kigeni waliopandisha timu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KITAYOSCE YAFUNGIWA KUSAJILI LEO INACHEZA NA AZAM FC CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top