• HABARI MPYA

  Saturday, August 12, 2023

  SIMBA SC YASAJILI KIPA KUTOKA MOROCCO


  KLABU ya Simba SC imemtambulisha kipa Mmorocco, Ayoub Lakred kuwa mchezaji wake mpya baada ya kuachana na Mbrazil, Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior.
  Sasa Simba inakuwa na makipa wanne, mbali na Lakred wengine ni Aishi Salum, Ally Salum na Ally Ferouz.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YASAJILI KIPA KUTOKA MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top