• HABARI MPYA

  Friday, August 04, 2023

  BARAKA MAJOGORO AJIUNGA NA CHIPPA UNITED YA AFRIKA KUSINI


  KIUNGO wa Kimataifa wa Tanzania, Baraka Gamba Majogoro (26) amejiunga na klabu ya Chippa United ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini akitokea KMC ya Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARAKA MAJOGORO AJIUNGA NA CHIPPA UNITED YA AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top