KIUNGO wa Kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Yanick Litombo Bangala leo ameanza mazoezi katika klabi yake mpya, Azam FC Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam baada ya kusajiliwa kutoka Yanga.
PICHA: YANICK BANGALA ALIVYOANZA KUJIFUA AZAM FC
0 comments:
Post a Comment