• HABARI MPYA

  Tuesday, August 08, 2023

  WACHEZAJI YANGA WAKAGUA MKWAKWANI KABLA YA KUIVAA AZAM KESHO


  KIKOSI cha Yanga leo kimetembelea na kukagua Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga kuelekea mchezo wao ww kesho wa Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya AzamwFC utakaoanza Saa 1:00 usiku.
  PICHA: WACHEZAJI WA YANGA WAKIKAGUA UWANJA WA MKWAKWANI JIJINI TANGA LEO
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WACHEZAJI YANGA WAKAGUA MKWAKWANI KABLA YA KUIVAA AZAM KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top