• HABARI MPYA

  Tuesday, August 15, 2023

  GEITA GOLD YAANZA VYEMA LIGI KUU, YAICHAPA IHEFU 1-0


  BAO pekee la Elias Maguri dakika ya tano limetosha kuipa Geita Gold ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Ihefu SC katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Highland Estate, Mbarali mkoani Mbeya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GEITA GOLD YAANZA VYEMA LIGI KUU, YAICHAPA IHEFU 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top