• HABARI MPYA

  Friday, August 18, 2023

  KMKM YAANZA VIBAYA AFRIKA, YACHAPWA 2-1 NA ST GEORGE CHAMAZI


  TIMU ya KMKM imejiweka njia panda katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 2-1 na St George ya Ethiopia katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Timu hizo zitarudiana Agosti 27 Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa, Ethiopia na mshindi wa jumla atakutana na mabingwa watetezi, Al Ahly ya Misri.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KMKM YAANZA VIBAYA AFRIKA, YACHAPWA 2-1 NA ST GEORGE CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top