• HABARI MPYA

  Tuesday, August 29, 2023

  FIFA YAIFUNGIA YANGA KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA KISA BIGIRIMANA


  SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Yanga kufanya usajili hadi hapo itakapomlipa aliyekuwa kiungo wake, Mrundi Gael Bigirimana.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FIFA YAIFUNGIA YANGA KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA KISA BIGIRIMANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top