• HABARI MPYA

  Tuesday, August 15, 2023

  MAKOCHA WASAIDIZI SIMBA, YANGA HAWANA SIFA ZA KUFUNDISHA LIGI KUU


  WAKATI Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara inaanza leo, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa orodha ya makocha wanaokidhi vigezo vya kufanya kazi, huku Makocha wasaidizi, Ouanane Sellami wa Simba na Moussa Ndaw wa Yanga wakiwa hawana sifa hizo.
  Wengine ni Corneille Hategekimana ambaye ni Kocha wa viungo wa Simba,  Melisa Medo wa Dodoma Jiji, Mwinyi Zahera wa Coastal Union, Hans Van Der Pluijm wa Singida Fountain Gate, Yousupho Dabo wa Azam FC, wakati Tabora United na Mtibwa Sugar mabenchi yote kuanzia Kocha mkuu wa wasaidizi wao wote hawana vigezo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAKOCHA WASAIDIZI SIMBA, YANGA HAWANA SIFA ZA KUFUNDISHA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top