• HABARI MPYA

  Wednesday, August 16, 2023

  MASHUJAA YAWAKANDA KAGERA SUGAR 2-0 LAKE TANGANYIKA


  WENYEJI, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
  Mabao ya Mashujaa FC iliyopanda Ligi Kuu msimu huu yamefungwa na Adam Adam dakika ya 15 na Othman Dunia dakika ya 73 wakifuata nyayo za JKT Tanzania iliyopanda pia msimu na kuanza na ushindi wa 1-0 jana ya wenyeji, Namungo FC.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHUJAA YAWAKANDA KAGERA SUGAR 2-0 LAKE TANGANYIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top