• HABARI MPYA

  Thursday, August 10, 2023

  WAGENI WA SIMBA SC NA SINGIDA MARUFUKU WOTE NGAO YA JAMII


  WAKATI zinatarajiwa kuteremka dimbani Saa 1:00 usiku Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii, klabu za Simba na Singida Fountain Gate hazitaruhusiwa kutumia wachezaji wake wa kigeni leo. 
  Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imesema kwamba Simba na Singida ndio klabu pekee ambazo hazijawasilisha vibali vya wachezaji wake wa kigeni kwa ajii ya michuano ya Ngao ya Jamii iliyoanza jana.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAGENI WA SIMBA SC NA SINGIDA MARUFUKU WOTE NGAO YA JAMII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top